top of page
Sauti Yetu - Utafiti kwa Waliopitia Unyanyasaji wa Kijinsia Wakiwa Watoto
Utafiti wa Sauti Yetu unalenga watu walio na umri wa zaidi ya miaka 18 waliopitia unyanyasaji wa kijinsia wakiwa watoto.
Lengo kuu la utafiti huu ni kukusanya taarifa muhimu ili kuimarisha hatua za ulinzi wa watoto na haki za waathiriwa, pamoja na kusikiliza sauti na hekima za wale waliopitia unyanyasaji wa kijinsia katika utoto wao.
Kushiriki katika utafiti huu wa mtandaoni ni kwa siri kabisa na unachukua takriban dakika 20-25.
The survey is supported by:
bottom of page